Sunday, July 2, 2017

BEI ZA NAFAKA ZASHUKA

Bei za nafaka zimeshuka bei kutoka mwezi wa May mpaka mwezi wa June.
Mahindi sasa yanauzwa kwa shilingi 62,500 hadi 70,300 kwa gunia la kilo 100 sawa na kushuka kulinganisha na mwezi May ambapo gunia la kilo 100 lilikuwa linapatikana kati ya shilingi 93,750 hadi shilingi 100,000 kwa mkoa wa Morogoro.
Kwa msaada zaidi download jedwali hili la bei ya mazao kwa masoko yote nchini ya tarehe 23 June.

http://www.mit.go.tz/uploads/files/Wholesale%20prices%20Report_23_%20June,%202017.xls

No comments:

Post a Comment

HABARI NJEMA KWA WAKULIMA, NAFAKA BADO YASHIKILIA PALE PALE.

Hali ya soko masokoni katika masoko makuu ya mikoani hapa nchi bado iko vizuri, ambapo mazao hayajapanda wala kushuka kulinganisha na wiki i...