Monday, July 24, 2017

HABARI NJEMA KWA WAKULIMA, NAFAKA BADO YASHIKILIA PALE PALE.

Hali ya soko masokoni katika masoko makuu ya mikoani hapa nchi bado iko vizuri, ambapo mazao hayajapanda wala kushuka kulinganisha na wiki iliyopita. Gunia la mchele la kilo 100 kwa soko la mkoani Morogoro (Mawenzi) limebaki kuwa 180,000tsh kwa bei ya chini na 180,000tsh kwa bei ya juu. Bonyeza hapa kupakua taarifa ya tarehe 10/07/2017 kuona bei ya nafaka ilivyokuwa sokoni.

Huku gunia la 100kg la mahindi likibaki kwa bei ile ile ya 50,780tsh kwa bei ya chini na bei ya juu ni 54,690tsh.
Bonyeza linki hapa chini uweze kupakuwa jedwali hili la bei elekezi ya nafaka katika masoko hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

HABARI NJEMA KWA WAKULIMA, NAFAKA BADO YASHIKILIA PALE PALE.

Hali ya soko masokoni katika masoko makuu ya mikoani hapa nchi bado iko vizuri, ambapo mazao hayajapanda wala kushuka kulinganisha na wiki i...