Wednesday, July 12, 2017

BEI ZA MAZAO SOKONI ZASHUKA.

Mazao mbali mbali sokoni yameshuka bei kwa sasa kulinganisha na mwezi wa sita. Hii hutokana na mavuno kuwa mengi na kusababisha kushuka bei kwa mazao kama vile mahindi, mchele, viazi mviringo na mazao mengine katika masoko hapa nchini.

Hapa chini tunakuwekea chati ya bei ya mazao iliyotolewa mwezi wa 7 tarehe 10 na wizara ya kilimo, biashara na viwanda.
Kufahamu bei ya tarehe 30 mwezi wa sita bonyeza hapa.
http://www.mit.go.tz/uploads/files/Copy%20of%20Wholesale%20prices%20Report_30%20_%20June,%202017.xls
Kliki hapa kuipakua (download) ya mwezi wa saba tarehe 10 ili uweze kufahamu bei ya jumla kwa gunia ni shilingi ngapi kwa kila zao katika masoko mbalimbali hapa nchini.

http://www.mit.go.tz/uploads/files/Wholesale%20prices%20Report_10%20_%20July,%202017.xlsx

No comments:

Post a Comment

HABARI NJEMA KWA WAKULIMA, NAFAKA BADO YASHIKILIA PALE PALE.

Hali ya soko masokoni katika masoko makuu ya mikoani hapa nchi bado iko vizuri, ambapo mazao hayajapanda wala kushuka kulinganisha na wiki i...