Bei ya mchele imeonekana kutoshuka sokoni kulinganisha na mazao mengine. Mwezi wa sita tarehe 23 kwa soko la Buguruni (Ilala, Dar Es Salaam) gunia la 100kg lilikuwa linauzwa kati ya shilingi
180,000 hadi 230,000 ambapo kwa toleo la mwezi wa sita tarehe 30 inaonekana bado ikiwa bei hiyo hiyo.
Pia kwa mazao mengine yanaonekana kubaki katika bei ile ile kwa kipindi hiki.
Kupata bei zaidi za mazao kwa sokoni kama ilivyoyolewa na wizara ya viwanda,biashara na uwekezaji.
Fungua hii link hapa chini upate kuona bei za mazao sokoni.
http://www.mit.go.tz/uploads/files/Copy%20of%20Wholesale%20prices%20Report_30%20_%20June,%202017.xls
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA, NAFAKA BADO YASHIKILIA PALE PALE.
Hali ya soko masokoni katika masoko makuu ya mikoani hapa nchi bado iko vizuri, ambapo mazao hayajapanda wala kushuka kulinganisha na wiki i...
-
USINDIKAJI WA PILIPILI KALI Aina nyingi za pilipili kali (Chillies) hulimwa katika maeneo madogo katika sehemu nyingi nchini Tanzania na z...
-
KILIMO CHA MIGOMBA (NDIZI) Utangulizi Niukweli usiopingika kuwa kilimo cha migomba(ndizi) hapa Tanzania kimekuwepo kwa miaka mingi sa...
-
UTANGULIZI Tangawizi ni aina ya zao la kiungo ambalo sehemu inayotumika ni tunguu (rhizome). Ambao huonekana kama mizizi ya mmea. Mmea h...
No comments:
Post a Comment